Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitia saini kitabu cha wageni baada ya kuwasili kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo mjini London kabla ya kuzungumza na watanzania Julai 11, 2014. Kushoto ni Mkewe Tunu na kulia ni Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Carol Chipeta. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya Watanzania waliohudhuria mkutano kati yao na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo mjini Londoni Julai 11, 2014 wakimsikiliza Waziri Mkuu wakati alipowahutubia. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na watanzania kwenye Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza mjini London, Julai 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya Waliohudhuria katika mkutano kati yake na Watanzania kwenye ubalozi wa Tanzania mjini Londoni Julai 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (aliyevaa nguo yenye rangi za bendera ya Taifa) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano kati yake na watanzania kwenye ubalozi wa Tanzania mjini London Julai 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (aliyevaa nguo yenye rangi za bendera ya Taifa) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano kati yake na watanzania kwenye ubalozi wa Tanzania mjini London Julai 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Mkewe Tunu (kushoto) na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Carol Chipeta wakizungumza na Shima Kombe baada ya mkutano kati ya Waziri Mkuu na Watanzania kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo London Julai 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (kushoto) wakizungumza na Shima Kombe baada ya mkutano kati ya Waziri Mkuu na Watanzania kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo London Julai 11, 2014.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni