Watuhumiwa wa usafirishaji wa Meno ya Tembo ambao wamekamatwa wilayani
Nanyumbu Mkoa wa Mtwara yenye uzito wa kg 130.6 yenye thamani ya
Tshs Milioni 7.35 katika Hamidu Ngunde (40) wa pili ni Boniphace
Msogo (29) na Geddat Mmuni (36) ote wakazi wa Jijini Dar es Salaam
wakiwa ndani ya gari la polisi baada ya kumaliza upimaji wa uzito .
(Picha na Thomas Dominick)
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni