MHE WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA ISRAEL NCHINI
Waziri Mkuu, Mhe Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Israel nchini, Mhe. Gil Haskel kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 10, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Israel nchini, Mhe. Gil Haskel, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni