Mwenyekiti
wa Chama Cha Albino Tanzania Bwana Ernest Kimaya akimkaribisha Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Kilimanjaro(KIA) muda mfupi baada ya kuwasili jana jioni.
Rais Kikwete
atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya kimataifa wa Albino
itakayofanyika leo katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid.
Kushoto ni Bwana Godson Mollel mwenyekiti wa Chama cha Albino Mkoa wa
Arusha. Picha na Freddy Maro
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni