Jumamosi, 13 Juni 2015

SAMWEL SITTA USO KWA USO NA LOWASSA.

hursday, June 11, 2015

Picha ya wakubwa hao walipokutana hivi karibuni utadhani Sitta anamwambia mbona unanitisha mzee mwenzangu
'Leo tumekutana na ndugu yangu Mheshimiwa Samuel Sitta. Mimi na Sitta tumetoka mbali kikazi na kindugu. Tumefanya kazi pamoja bungeni, ndani ya CCM na serikalini kwa mafanikio makubwa' alisema Lowassa.
'Namtakia heri katika harakati zake huku nikiamini kwa dhati kwamba uhusiano wetu ndiyo msingi wa umoja na mshikamano ndani ya CCM na kwa taifa letu kwa siku zijazo' alimalizia Lowassa.






Lowassa na Sitta wakifurahia jambo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni