Mmoja wa anayetuhumiwa
Mtuhumiwa wa pili
Mamia ya wananchi na Polisi wakiwa katika harakati za kuwatafuta vijana wawili hapo juu aliyechuchumaa na anayecheza mziki kwa tuhuma za kumuua Dereva bodaboda Kiteto. Mtu yeyote anayewafahamu atoe taarifa kituo cha Polisi kilichopo karibu nae.
(TK)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni