Sehemu alizoathirika
Mkurugenzi mtendaji wa Nyumbani Park & Samaki Sport Farida Mess Matlou alivamiwa na majambazi na kumjeruhi. Tukio hilo lilitokea usiku wa Trh 19 kuamki 20 maeneo ya nyumbani kwake Kihonda.

Kwa taarifa zilizofikia mtandao huu ni kwamba tayari watu wawili wamekatwa kuhusishwa na tukio hiloMkurugenzi huyu alivamiwa usiku wa saa saba
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni