Jumatatu, 2 Juni 2014

"IDD AMIN" AMEFARIKI DUNIA LEO


Muigizaji wa picha ya The Rise and Fall of Idd Amin Joseph Olita kwenye picha hiyo.

Muigizaji Maarufu nchini Kenya ambaye aliigiza kama Rais wa zamani wa Uganda Dikteta Idd Amin Dada  kwenye picha ya The Rise and Fall of Idd Amin Joseph Olita amefariki dunia mapema leo Jumatatu katika eneo la Siaya nchini Kenya.

 

Muigizaji huyo pia aliigiza katika picha nyingine ya Mississippi Masala

Picha ya hayati Joseph Olita katika enzi za uhai wake
 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni