Jiwe kubwa Likiwa limeanguka toka mlimani na kuziba Barabara ya Vuga Kutoka Mombo kuelekea korogwe na Lushoto

Hali ya usafiri kutoka Mombo kuelekea wilaya ya Lushoto mkoani tanga ilikuwa tete baada ya
jiwe kubwa kuangua barabarani katika eneo la Vuga road. Jiwe hilo lilisababisha wasafiri wa barabara hiyo kukwama kwa takribani masaa 6 bila magari kupita. Lakini hatimaye vyombo vya usalama wakishirikiana na wananchi waliweza kulitoa na hatimaye usafiri wa njia hiyo kurejea katika hali yake ya kawaida

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni