Alhamisi, 13 Februari 2014

IMAMU AMWAGIWA INAYODAIWA TINDI KALI ARUSHA

 

IMAMU wa Msikiti wa Sawiyatu Qadiria, Hassan Bashir, akiwa amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Arusha ya Mount Meru, baada ya kumwagiwa inayodaiwa kuwa ni tindikali jana na mtu asiyefahamika baada ya mtu huyo kumwita kwa jina anayedaiwa alikuwa amevalia koti na kanzu. Inaelezwa wakati Imamu huyo anageuka ghafla ndipo alipomwagia bahati nzuri ilimpata

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni