Alhamisi, 11 Septemba 2014

MTU MMOJA AFARIKI KATIKA AJALI SINGIDA

Lori aina ya Scania likiwa limeharibika baada ya ajali
 
Lori moja aina ya scania (pichani) limepata ajali kwa kuligonga lori lingine kwa nyuma lililosimama ghafla kwenye tuta katika Kijiji cha Isuna, Barabara ya Singida-Dodoma . Mashuhuda wa ajali hiyo wanadai kuwa dereva wa lori hilo alikufa kutokana na ajali hiyo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni