Timu ya Taifa ya Iceland imeiadhiri timu ya taifa ya Uturuki kwa kuifunga mabao 3-0 katika kuwania kufuzu Euro 2016.
Mchezaji wa Iceland akishangilia bao
Mabao ya Iceland yalifungwa na Bodvarsson katika dakika ya 19, G. Sigurdsson 76 na Sigthorsson katika dakika ya 77
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni