YANGA YATAKATA SIMBA HOI
DAKIKA
ya 78 mshaambuliaji Amisi Tamwe anaiandikia timu yake ya Yanga SC bao
la tatu baada ya kona iliyochingwa na kiungo mshambuliaji, Harouna
Niyonzima, Yanga 3-1 Mbeya City katika uwanja wa Sokoine.
Simba
SC imekubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa vijana wa Stend United
katika uwanja wa Kambarage Shinyanga baada ya kumalizika dakika 90.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni