Jumatatu, 23 Desemba 2013

VURUGU ZA WAKULIMA NA POLISI MALINYI HIZI HAPA




Kituo cha Polisi Malinyi kilichochomwa moto pamoja na gari moj (halipo pichani) na wananchi wenye hasira kufuatia mauaji ya mkulima mmoja aliyeuawa na wafugaji na mfugaji mmoja aliyeuawa na wakulima.

Katika vurugu hizo wakulima wawili na polisi mmoja waliuawa.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni