Kimbunga kilichoambatana na mvua kimeezua nyumba 183 huko Mbarali mkoani Mbeya na kusababisha vifo vya watu wawili.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Abbas Kandoro akipata maelezo jinsi kimbunga hicho kilivyoezua nyumba katika kata tatu za wilayani Mbarali.
Habari zaidi tutazipata baadaye
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni