Hii ilithibitishwa na CIWEC Clinic Travel Medicine Center ililyopo mjini Lainchaur, Kathmandu, Nepal tarehe 26 Februari 2012.
Wakati wa kuthibitisha hayo Chandra alikuwa na uzito wa kilo 14.5 (sawa na paundi 31 na onzi 15.52 ) na alikuwa na umri wa miaka 72.
Vipimo hivi vilichukuliwa na Drs Rashila Pradhan na Prativa Pandey. Mhariri Mkuu wa Guinness World Records Craig Glenday, amethibitisha.
Related
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni