Mapacha Bob Bryan na Mike Bryan wa Marekani wamefanikiwa kuweka historia katika michuano ya US Open baada ya kwashinda Marcel Granollers na Marc Lopez wa Hispania kwa michezo 6-3 6-4 siku ya Jumapili iliyopita.
Mapacha Mike na Bob wakisherehekea ubingwa huo wa kihistoria
Mapacha hao walipata taji lao la 100 na ilikuwa furaha kubwa sana kwao.
Hawa walianza kucheza kwenye amshindano ya tennis wakiwa na umri wa miaka sita uwanja wa Agoura Hills California huko Marekani na wakashinda na kupata kikombe. Kuanzia hao vikombe vimeendelea kukusanyika nyumbani kwao na sasa wamefikisha vikombe 100.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni