Mwili wa mwanamke mmoja ambaye hakufahamika jina lake baada ya kukanyagwa na lori na kupoteza maisha.
Baadhi ya wananchi wakiwa eneo la ajali.
MWANAMKE mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja amepoteza maisha baada ya kukanyagwa na lori lenye namba za usajili T277 CLY mali ya kampuni ya B. H. Ladwa ltd leo katika maeneo ya Mbezi Tanki Bovu, jijini Dar es Salaam.



Hakuna maoni:
Chapisha Maoni