Jumatatu, 15 Septemba 2014

ABOOD AFANYA KUFURU: NI BAADA YA KUINGIZA MABASI 50



Kampuni ya mabasi ya Abood yenye maskani Mkoani Morogoro imeingiza Mabasi Mapya na ya kisasa nchini kwa lengo la kutoa huduma za usafiri kaika mikoa mbalimbali ya nchini Tanzania.

 

Mabasi zaidi ya 5o yameingizwa nchini kwa taratibu za kutafuta kibali na kukamilisha usajili ili zianze kazi. Basi  hizo ambazo zimetengenezwana kampuni ya YUTONG ni tofauti kabisa na mabasi mengine yaaliyokwisha kuingia Nchini Tanzania ndiyo itakuwa kampuni ya kwanza barani Afrika kuingiza na kutumia aina hii ya mabasi ya YUTONG. Mabasi hayo ambayo yametengenezwa kumudu mazingira na hali ya hewa ya Tanzania kwa ujumla kwa hiyo hayatakuwa na usumbufu na matatizo kama mabasi ya awali ya kampuni hiyo!





















Hakuna maoni:

Chapisha Maoni