Jumatatu, 3 Machi 2014

USIOGOPE KAKA MIE NAPITA TUU

Chui mmoja alizua kizaazaa katika hospitali moja nchini India baada ya kuingia hospitali ambapo alizua taharuki kali kwa wagonjwa kwa masaa 12. Baadaye chui huyo alimjeruhi Afisa wa polisi  na kuvunja kioo cha dirisha.


endangered species, leopards, leopard photos, western Maharashtra animals
                          

Maafisa wanyamapori walijaribu bila mafanikio kumpa dawa ya usingizi na baadaye alikimbia na kuingia mjini Meerut katika jimbo la Utter Pradesh.

 

Kutokana na chui huyo kushindikana kukamatwa kwenye msako mkali unaoendelea imebidi shule zote zifungwe kwa siku ya Jumatatu.

 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni