Alhamisi, 26 Juni 2014

SISTA AUAWA NA MAJAMBAZI DAR

Mwili wa Sista baada ya kupigwa risasi.
Kidole cha dereva kilichokatwa kwa risasi.
Ganda la risasi likiwa eneo hilo la tukio.
Dereva akiwasiliana na jamaa zake baada ya kupigwa risasi na sista aliyekuwa naye kuuawa.
Wananchi wakiwa eneo la tukio.
SISTA wa Parokia ya Makoka iliyopo Kibangu, Dar ameuawa na majambazi yaliyokuwa kwenye bodoboda wakati akiingia kwenye gari akitokea dukani eneo la River Side, Ubungo jijini Dar es Salaam hivi punde.
Kabla ya kuuawa sista huyo, dereva wake alipigwa risasi mkononi na majambazi hayo (TK)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni