Jumanne, 7 Januari 2014

WIMBI LILILOIPATIA DHORUBA MELI YA KILIMANAJRO II MALI YA AZAM NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU ZAIDI YA WATANO



NDILO WIMBI KUBWA LILILOIPA DHORUBA MELI YA AZAM NA KUSABABISHA ZAIDI YA WATU WATANO KUFARIKI DUNIA NA KUTAKA KUZAMA VISIWANI ZANZIBAR JUZI.KAZI YA UOKOAJI NDIYO ILIKUWA HIVI. Mmoja wa wahanga katika tukio hilo baada ya kuokolewa.

Ndani ya meli hiyo kila mmoja wa abiria akifanya mawasiliano kwa njia ya simu na ndugu zake.
MELI YA KILIMANJARO TWO JANA ILIPATA DHORUBA KALI NA KUPELEKEA ABIRIA KUHOFIA USALAMA WAO BAADA YA WIMBI KUBWA KUIPIGA MELI NA KISHA INJINI KUZIMIKA ENEO LA NUNGWI, SEHEMU AMBAYO INA MKONDO MKUBWA WA BAHARI NA ILISHASABABISHA AJALI MBAYA YA MV SPICE NA KUUA MAMIA YA WATANZANIA, MELI HII ILIKUWA INATOKEA DAR ES SALAAM KUELEKEA PEMBA, AMBAPO IMEFANIKIWA KUFIKA SALAMA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni