Mchezaji
wa Africa Lyon, Rajab Khamis aliumia mkono kufuatia kupigwa na
mashabiki wa Lipuli FC ya Iringa katika mchezo wa ligi daraja la kwanza
uliopigwa juzi na kumalizika kwa suluhu.
Raizan Hafidh aliumia nyama za paja baada ya kukatwa mtama na kukanyagwa katika paja na mashabiki wa Lipuli
Kasim Simbaulanga naye aliumia mkono kutokana na fujo hizo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni