Makinda
akimkaribisha ofisini kwake Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ndugu George
Masaju wakati alipofanya ziara fupi.
Mwanasheria
Mkuu wa Serikali George Masaju akitia saini kwenye kitabu cha wageni wa
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kabla ya kuanza
kubadilishana mawazo. Ziara hiyo fupi imefanyika ofisi ndogo za bunge
Dar-es-salaam.
Mwanasheria
Mkuu wa Serikali Ndugu George Masaju akiwa kwenye mazungumzo ya
kubadilishana mawazo na Spika wa Bunge Mheshimiwa Anne Semamba Makinda
kwenye ofisi ndogo za bunge Dar-es-salaam.


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni