January 4 mwaka 2015 Kenya imeingia kwenye majonzi baada ya kumpoteza mtoto wa Waziri Mkuu wa zamani Raila Odinga, Fidel Casto Odinga ambaye alifariki nyumbani kwake ghafla baada ya kurudi kutoka matembezi na kufikia kumpumzika na hadi umauti ulipomkuta.
Leo mwili wa marehemu
Fidel Odinga umesafirishwa na Ndege ya jeshi la Kenya Kenya Air Force
hadi katika mji wa Kisumu ambapo msafara wake utaanzia hapo hadi kwenye
kijiji cha Opoda kilichopo Kisumu Kenya tayari kwa mazishi yatakayofanyika siku ya
kesho Jumamosi tarehe 8 January 2015
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni