Alhamisi, 11 Septemba 2014

CZECH KWENYE EURO 2016

Timu ya Taifa ya Czech imewashangaza Waholanzi kwa kuwapiga goli 2-1 katika kinyang'anyiro cha kufuzu kwenye fainali ya Euro 2016.

 

Timu ya Uholanzi ilifanya vizuri kwenye Kombe la Dunia mwaka huu nchini Brazili.

 

Goli la kwanza lilifungwa na mchezaji Dockal katika dakika ya 22 kabla ya de Vrij kusawazisha katika dakika ya 55. Pllar aliizamisha Uholanzi kwa bao safi lililofungwa dakika ya 90. Hadi kipenga cha mwisho Czech 2 Uholanzi 1


‘One of the best goals’
Wachezaji wa Czech wakishangilia goli.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni