Jumatatu, 29 Desemba 2014

VILIO VYATANDA KUPOTEA KWA NDEGE YA AIR ASIA



 Rubani wa Ndege Iliyopotea Ya Air Asia

 Ndugu wa Abiria wakilia kwa uchungu
 Ni vilio na Majonzi


Ndogi wa abiria wakipiga simu huku wakilia kwa uchungu
Wakati huohuo baba wa rubani wa ndege hiyo alisema kuwa ni vigumu kuelewa hali hiyo kwa sababu ni mwezi mmoja tu toka ampoteze kaka wa rubani huyo.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni