Rais Kikwete (katikati) akiwa na makamu wake Gharib Bilal
(kushoto) na Anna Makinda katika viwanja vya Karimjee ili kumuaga marehemu
Kapteni John Komba.
Rais Mstaafu Benjamin Mkapa (wa pili kulia) akiwa na mkewe
Anna (wa tatu kulia) wakiwasili viwanja vya Karimjee.
Spika wa Bunge, Anna Mkapa (kushoto) akiwa na Mkapa.
Mbunge wa Kinondoni Idd Azzan (kushoto) akiwa na Waziri wa
Mambo ya Nje, Bernard Membe.
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba (kulia) akiwa
viwanja vya Karimjee.
Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba (kulia)akisalimiana
na mwanasiasa mkongwe, Kingunge Ngombale.
Wake wa marehemu Komba, katikati ni mke mkubwa, Salome, na
kulia ni mke mdogo.
Miongoni mwa wanafamilia wa marehemu Komba.
Mwili wa marehemu John Komba ukiingia Karimjee ili kuagwa na
wananchi na viongozi mbalimbali leo jijini Dar.
PICHA ZOTE NA GPL
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni