Serikali
ya China,imepiga marufuku kuvuta sigara katika maeneo yote ya wazi
katika mji wa Beijing. Maelfu ya maafisa wameanza kufanya ukaguzi katika
maeneo yote ya wazi na watakaokiuka kufuata sheria hiyo watapigwa
faini.
Ripoti inasema kuwa watu wengi wanadhani sheria hiyo ya kukataza kabisa uvutaji sigara haitafanya kazi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni