Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia
ubora wa kiatu cha Mrakibu Msaidizi wa Magereza Melkior Komba, Katika
Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. Viatu hivyo vimetengenezwa na kiwanda
cha Jeshi la Magereza Karanga kilichopo Moshi Mkoani Kilimanjaro.
Jeshi
la Magereza linazalisha jozi 150 za viatu kwa siku katika kiwanda chake
cha Karanga kilichopo Moshi Mkoani Kilimanjaro, na kwa kushirikiana na
mfuko wa hifadhi ya jamii wa PPF limeanza kuboresha kiwanda hicho ili
kufikia uzalishaji wa jozi 450 kwa siku.
Mheshimiwa akitaka kuwasaidia aagize Watanzania wavae viatu hivyo vya Karanga
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni