Jumatano, 11 Desemba 2013

MKUU WA MKOA WA MOROGORO ALAMBA NONDOZ

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe Joel Bendera na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Goodluck Ole Medeye (MB) hivi karibuni walitunukiwa shahada ya juu ya heshima (Doctor of Humanity) ya Chuo Kikuu cha California State Christian University.

 Mkuu wa Mkoa wa Morogoro kushoto na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi mara baada ya kupewa Udaktari wa heshima tarehe 30/11/2013 Morogoro.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni