KUMBE RAIS JAKAYA KIKWETE NI MWANAMUZIKI !!! KIPAJI CHAKE CHAIBUKA MKOANI MBEYA.
RAIS Jakaya Mrisho Kiwete akicharaza gitaa la solo baada ya
kuliomba kutoka kwa kijana aliyekuwa akipiga wakati wa sherehe za miaka 37 tangu
kuzaliwa kwa CCM, sherehe zilizofanyika mkoani Mbeya jumapili iliyopita (TK)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni