Mgombea Urais kwa tiketi ya Democratic Progressive Party (DPP) presidential elections Peter Mutharika (R) akitoka nyumbani kwake akiwa na mgombea mwenza Saulos Chilima, Blantyre, Jumapili. PHOTO/AFP
BLANTYRE - Wiki moja baada ya Uchaguzi Wamalawi bado hawajapata matokeo ya kura zao hadi sasa wagombea wanaburutana mahakamani wakiashiria vurugu.
Asilimia 90 ya kura hizo ilikuwa imehesabiwa hadi Jumapili, haikuwa wazi kama wasimamizi wa kimataifa watatangaza matokeo hayo na kama yatakubalika.
Huku kukiwa na taarifa za uchakachuaji tume ya uchaguzi, rais Banda na Mpinzani wake wamefungua kesi za kupinga matokeo hayo mahakamani.
President Joyce Banda amesema kuwa kulikuwa na ukiukaji mkubwa wa kanuni za uchaguzi na hivyo kusema kuwa inabidi kura irudiwa ndani ya siku 90 na kuwa yeye hatashiriki.
Aidha, hakuna uhakika kama ana mamlaka ya kufanya hivyo kikatiba. Mahakama imemuru kura ziendelee kuhesabiwa.
Siku ya Ijumaa iliyopita wakati uhesabuji wa kura ukiendelea Mpinzani mkuu wa rais Joyce Banda bwana Peter Mutharika alikuwa akiongoza kwa asilimia 42 wakati Rais Banda alikuwa na kura asilimia 23 tu.
wananchi wakipiga kura. PHOTO/AFP

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni