BASI LA HOOD LAGONGWA NA LORI
Raia wakishuhudia ajali ya basi la Hood ilivyotokea.
Basi la Hood lililokuwa
likitoka Arusha kwenda Iringa llimepata ajali asubuhi ya leo eneo la Kikatiti,
Arusha. Basi hilo lilitaka kugongana uso kwa uso na lori la
mizigo, ndipo katika kukwepana ikatokea ajali hiyo. Abiria wa basi wamenusurika , ila
lori lilidumbukia darajani na hakukuwa na mtu aliyepoteza maisha.
Basi la Hood lililopata ajali asubuhi ya leo eneo la
Kikatiti, Arusha.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni