MAJAMBAZI YAUA MTU MMOJA MLIMANI CITY
Mtu mmoja aliyetajwa kwa jina la Adson Cheyo (Pichan) amepigwa risasi na kufariki maeneo ya Mlimani City jijini Dar es salaam hapo jana usiku. Inaaminika amepigwa na majambazi waliokuwa wamemuona na bahasha yenye kiasi kikubwa cha pesa (Milioni 18).
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni