Jumatano, 6 Agosti 2014

WAZIRI MKUU AFUNGUA MAONESHO YA MIFUGO DODOMA

PG4A8827
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama mapishi ya pilau la kuku ya Mama Irene mamuya (kulia) wa Chako ni Chako Dodoma katika maonyesho ya wakulima Nanenane yaliyofanyika kwenye uwanja wa Nzuguni Dodoma Auguast 6, 2014. (Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu)

PG4A8884
Ngombe mwenye kilo 1000 kutoka Mafinga Iringa akipita mbele ya mgeni rasmi Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika mashindano ya mifugo yaliyofunguliwa na Waziri Mkuu kwenye uwanja wa Nzuguni wa Nanenane mjini Dodoma August 6, 2014. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu)
PG4A8888
Ngombe wakiwa wamejipanga katika maonyesho ya mifugo yaliyofunguliwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenye uwanja wa Nanenane wa Nzuguni uliopo Dodoma August 6, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A8955
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dr. Titus Kamani kukagua banda la Wizara hiyo katika monyesho ya Wakulima Nanenane kwenye uwanja wa Nzuguni Dodoma August 6, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni