Jumatatu, 1 Septemba 2014

GARI YATEKETEA KWA MOTO MOROGORO

Gari dogo likiteketea kwa moto leo maeneo ya Msamvu mkoani Morogoro.
Gari la zimamoto likiwa limefika na kuanza kazi ya kuuizima moto huo.
Zoezi la uzimaji wa moto huo likiendelea.
Wananchi wakishuhudia janga la moto lililotokea

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni