Alhamisi, 11 Septemba 2014

MADEREVA WA MABASI WAGOMA UBUNGO

Thursday, September 11, 2014


Kuna mgomo Mkubwa wa madereva hapa Ubungo bus terminal, huu unafuatia kikao chao SIRI jana kilichowakitanisha na Sumatra pamoja na Traffic makao makuu.
Hadi sasa hatma ya abiria bado haijajulikana na hakuna dereva aliye tayari kuzungumzia nini kilichosababisha huo mgomo.

Tutaendelea kujuzana kinachoendelea!
========================
Madereva hawakukubaliana na amri ya kutembea na vyeti vyao walivyopata baada ya kuhitimu mafunzo ya udereva wa magari ya abiria.CHANZO http://www.jamiiforums.com

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni