Jumanne, 23 Septemba 2014

VITAMBULISHO VYA TAIFA VYAANZA MOROGORO

DSC00956[1]

DSC00957[1]
DSC00959[1]USAJILI MAOMBI YA VITAMBULISHO VYA TAIFA WAANZA MKOA WA MOROGORO
Changamoto kubwa bado imebaki wananchi wengi kukosa Viambata msingi vya kuwatambulisha kama vyeti vya kuzaliwa, vyeti vya elimu ya msingi au sekondari n.k jambo ambalo limekuwa likisisitiziwa sana na NIDA katika kurahisisha utambulisho wa mwombaji. (Picha na Rose Mdami- NIDA)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni