Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akifurahia jambo na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi mara baada ya kuwasili katika kata ya Mng’aro Lushoto mara baada ya kushuka milima ya Usambara huku akiendesha Baiskeli pamoja na Nape Nnauye na wananchi wengine wakati msafara wake ukielekea jimboni Mkinga wilaya ya Mkinga, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana yuko katika ziara ya mkoa wa Tanga akikagua na kuhimiza utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010, Akiongozana na Nape Nnauye.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-MKINGA TANGA)Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akionoza wananchi wakati akishuka milima ya Usambara kwa kutumia baiskeli pamoja na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi pamoja na wananchi wengine.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongoza wananchi katika msafara wake.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Nape Nnauye wakiendelea na safari pamoja na wananchi.Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi akiwasili kwa baiskeli katika kata ya Mng’aro Lushoto.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipiga makofi na Mkuu wa wilaya ya LushotoMhe. Majid Hemed Mwanga kulia wakipiga makofi huku mwadishi wa habari wa gazeti la Jambo Leo akifurahia mara baada ya kuwasili katika kata ya Mng’aro wilayani Lushoto
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni