Jumatano, 1 Oktoba 2014

BARCELONA HOI KWA PSG

Timu ya Barcelona jana ilionja joto ya jiwe baada ya kukubali kichapo cha goli 3 kwa 2 kutoka kwa timu ya Paris Saint Geman (PSG) katika mashindano ya UEFA 2014. Wafungaji walikuwa David Luiz (PSG) 10'; Lionel Messi (FCB) 11'; Marco Verratti (PSG) 26'; Blaise Matuidi (PSG) 54'; Neymar (FCB) 56'

Mchezaji wa PSG David Luis namba 32 akishangilia bao kwa staili ya aina yake



Mchezaji wa PSG David Luis (kulia)akiwa katika harakati za kufunga goli



Angalia video ya Barca vs PSG


Mchezaji wa PSG David Luis jezi namba 32 akishangilia bao
Wachezaji wa PSG wakishangilia bao

Mchezaji wa Barca akifunga bao

Lionel Messi wa Barca akishangilia bao

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni