Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na watanzania waishio
nchini Qatar baada ya kuzungumza nao kwenye hoteli ya Sheraton iliyopo
Doha, Desemba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Baadhi
ya washiriki wa Mkutano kati ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Watanzania
waishio nchini Qatar wakimsiliza Waziri Mkuu wakati alipozungumza nao
kwenye hoteli ya Sheraton iliyopo Doha Desemba 21,2014. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Baadhi

ya Waziri Mkuu)Mwenyekiti
wa Umoja wa Watanzania waishio nchini Qatar, Mzee Said akisoma risala
katika mkutano kati ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na watanzania waishio
Qatar uliofanyika kwenye hoteli ya Sheraton iliyopo Doha Desemba 21,
2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Baadhi ya Mawaziri na viongozi mbalimbali wa serikali walioongozana na Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda.Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na watanzania waishio
nchini Qatar baada ya kuzungumza nao kwenye hoteli ya Sheraton iliyopo
Doha, Desemba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakizungumza na Mwinyi Kazimoto
ambaye ni Mtanzania anayecheza soka la kulipwa katika timu ya Al
Markhiaya nchini Qatar, katika mkutano kati yake na watanzania waishio
nchini humo uliofanyika kwenye hoteli ya Sheraton mjini Doha Desemba
21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (kushoto kwake) akizungumza na baadhi ya washiriki wa mkutano kati yake na watanzania waishio nchini Qatar uliofanyika kwenye hoteli ya Sheraton iliyopo Doha, Desemba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na watanzania waishio nchini Qatar baada ya kuzungumza nao kwenye hoteli ya Sheraton iliyopo Doha, Desemba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni