Jumamosi, 24 Januari 2015

RAIS KIKWETE AFANYA MABADILIKO MADOGO YA BARAZA LA MAWAZIRI WAAPISHWA LEO

Rais Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri ambapo wafuatao wamo Mawaziri:
George Simbachawene- Waziri wa Nishati na Madini
Mary Nagu -Waziri wa nchi Mahusiano na Uratibu
Harrison Mwakyembe - Waziri wa Afrika Mashariki.
Wiliam Lukuvi - Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi
Steven Wassira - Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika
Samwel Sitta - Waziri wa Uchukuzi
Jenista Mhagama - Waziri wa Sera na Uratibu wa Bunge

Christopher Chiza- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji

Na  Manaibu Waziri ni hawa hapa:
Steven Masele - Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano
Angellah Kairuki - Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi
Ummy Mwalimu- Naibu Waziri wa Katiba na Sheria
Anna Kilango- Naibu waziri wa Elimu
Charles Mwijage - Naibu Waziri wa Nishati na Madini

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni