Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mwenyeji wake Rais Edgar Lungu wa Zambia katika uwanja wa
ndege wa kimataifa wa Kenneth Kaunda jijini Lusaka Zambia kwa ziara ya
kikazi ya siku mbili. (PICHA NA FREDDY MARO WA IKULU)Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe wamewasili katika uwanja wa
ndege wa kimataifa wa Kenneth Kaunda jijini Lusaka Zambia na kupokewa
na mwenyeji wao Rais Edgar Lungu wa Zambia leo asubuhi kwa ziara ya
kikazi ya siku mbili
Rais Kikwete na Rais Lungu wa Zambia wakipokea heshima ya mizinga 21 mara baada ya kuwasili.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni