Siku chache zilizopita, meli kubwa kuliko zote duniani iliwasili
nchini Uingereza na kuwa kivutio kikubwa.Meli hiyo ya mizigo ina uwezo
wa kubeba makontena 19,100 na ukubwa wake ni sawa na viwanja vinne vya
kuchezea mpira.
Meli hiyo imesajiliwa Hong Kong na ilitentengenezwa nchini China, ina
uwezo wa kubeba tani 57,000 ambao ni uzito mkubwa zaidi unaoweza
kuchukuliwa na chombo cha usafiri duniani.
Ilisafiri kwa mwezi mzima kutoka Shanghai China hadi nchini Uingereza.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni