Blair ajiuzuru ujumbe Quartet
Waziri
mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair amejiuzulu nafasi ya ujumbe wa
umoja wa kimataifa katika kamati unaoshughulikia usuluhishi wa mgogoro
wa Mashariki ya kati Quartet, unaohusisha nchi ya Israel na Palestina
nafasi ambayo ameitumikia kwa kipindi cha miaka minane.
Afisa mmoja wa Palestina amemlaumu Blair kwa kufanya kazi ili kuwaridhisha waisrael na Marekani. Umoja huo unaundwa na UN, EU nchi ya Marekani na Urusi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni