Mtangaza
nia ya kuwania Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye
pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono
maelfu ya wananchi waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa michezo wa
Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha jana, wakati wa kutangaza nia
yake hiyo ya kuwania Urais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania.
Mtangaza
nia ya kuwania Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye
pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono
maelfu ya wananchi waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa michezo wa
Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha jana jioni, wakati wa kutangaza nia
yake hiyo ya kuwania Urais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania.
Mbunge
wa Jimbo la Mwibara, Mh. Kangi Lugola akisalima umati wa watanzania
uliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri
Abeid, jijini Arusha jana jioni, kumsikiliza Mtangaza nia ya kuwania
Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni
Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa (kulia).
Mwenyekiti
wa CCM wa Mkoa wa Arusha, Ndg. Onesmo Ole Nangole akizungumza machache
kabla ya kumkaribisha Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania kwa
tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la
Monduli, Mh. Edward Lowassa, kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri
Abeid, jijini Arusha jana.
Mh. Lowassa akiwapungia wananchi.
Mtangaza
nia ya kuwania Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi
(CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa
akihutubia katika mkutano wa hadhara wa kutangaza nia yake
hiyo, kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha jana.
Mh.
Edward Lowassa akiteta jambo na Mkewe Mama Regina Lowassa wakati wa
mkutano uliofanyika jana kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid,
jijini Arusha.
Mh. Edward Lowassa akipongezwa na baadhi ya Wabunge waliohudhuria mkutano huo, baada hotuba yake akiwamo Mhe Kapuya kushoto.
Mhe Lowassa akiwa na Kingungu Ngombale Mwiru wakifurahia jambo
Mama Regina Lowassa akiwa na Mhe Harith Bakari Mwapachu
Mhe Kingunge Ngombale Mwiru akimnadi Mhe Lowassa
Mama Regina Lowassa akiwa haamini umati ulivyokuwa mkubwa
PICHA ZOTE NA MICHUZI |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni