Waziri wa maliasili na Utalii, lazaro Nyalandu akimsikiliza waziri wa
Ardhi na Maendeleo vijijini, Celso Coreia jana mjini Maputo kabla ya
kusaini mkataba wa makubaliano ya kuhifadhi Pori la akiba la Selous
nchini Tanzania lililoungana na Hifadhi ya Nnyasa nchini Msumbiji ambapo
mbali na uhifadhi watashirikiana kupambana na ujangili , utaalamu na
vifaa.
Waziri
wa maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akibadilishana hati za
makubaliano ya kuhifadhi Pori la akiba la selous nchini Tanzania
lililoungana na Hifadhi ya Nnyasa nchini Msumbiji na waziri wa Ardhi na
Maendeleo vijijini Celso Coreia, ambapo mbali na uhifadhi watashirikiana
kupambana na ujangili , utaalamu na vifaa, jana mjini Maputo Msumbiji.
Waziri
wa Maliasii na Utalii, Lazaro Nyalandu na waziri wa Ardhi na Maendeleo
vijijini wa Msumbiji Celso Coreia wakifuatilia mada zilizokuwa
zikitolewa kabla ya kusaini mkataba wa makubaliano ya kuhifadhi Pori la
akiba la selous nchini Tanzania lililoungana na Hifadhi ya Nnyasa nchini
Msumbiji ambapo mbali na uhifadhi watashirikiana kupambana na
ujangili, utaalamu na vifaa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni