Mlipuko wa moto katika kituo cha mafuta, Accra Ghana umeua watu 96 na uchunguzi zaidi unaendelea.
Hata hivyo mlipuko huo uliotokea baada ya mvua kubwa iliyosababisha mafuriko ya maji katika maeneo mengi ya mji wa Accra. Baadhi ya maeneo hayana umeme kutokana na kukatika kwa umeme. Pia baadhi ya barabara hazipitiki kutokana na mafuriko hayo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni