Jumatatu, 4 Aprili 2016

NOAH YAACHA NJIA BANDARINI JIJINI DAR ES SALAAM NA KUTUMBUKIA KWENYE MTARO

Mwananchi wakiangalia ajali ya Noah yenye namba za usajili T 367 DAK iliyoacha njia na kutumbukia kwenye mtaro jirani na Kanisa la Mtakatifu Joseph, Bandarini Dar es Salaam.
"Ni kama anaongea maskini mmiliki wa Noah hii hivi watu waliokuwa wamepanda wamesalimika ?"
Noah ikiwa mtaroni. Chanzo cha ajali hiyo hakikuweza kufahamika.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni